
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Dr George Cooper,Rais wa Chuo Kikuu cha South Carolina State University Nchini Marekani,akiongoza ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Chuo kikuu cha South Carolina State University, cha Nchini Marekani,ukiongozwa na Dr George Cooper,Rais wa Chuo hicho,(katikati), walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment