Habari za Punde

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA BELGIUM

Wadau wa Oostende, Belgium tunatuma salamu za rambi rambi kwa majirani zetu Kenya kwa ajali iliyotokea kwa moto tunaendelea kuomboleza kwa ajali ya meli iliyotokea Zanzibar na vile vile tunaungana na wenzetu wa Kenya kwa janga la moto.

Mungu awarehemu waliofika mbele ya haki na Mungu awape nafuu majeruhi

Ameen

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.