MKULIMA wa Zao la karafuu katika Kijiji cha Pandani akianika karafuu zake ili kupata daraja la kwanza kutoka na bei yake kuwa juu.
WANAOSAFIRISHA MAZAO KINYUME CHA SHERIA KUWAJIBISHWA– COPRA
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imeonya vikali
wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya kilimo bi...
5 hours ago
Hongera babu!"kijua ndio hichi,usipo uanika utaula mbichi"Kwa kweli wapemba wenye karafuu tukishindwa kumaliza 'vibanda' vyetu mwaka huu! na tukaendekeza kuongeza wake basi,basi tusijetukalaumu mtu ila nafsi zetu!
ReplyDelete