Habari za Punde

DARAJANI NA PIRIKA ZAKE

HARAKATI za hapa na pale katika mtaa wa Darajani zikizidi kila siku kwa huduma ya biashara katika mji huo wa Stone Town. 

1 comment:

  1. Hivi hili jumba refu kama treni hapa darajani mmiliki wake nani? linachafua mandhari yote ya mji! halifanyiwi ukarabati wala kupakwa rangi na lina maduka tele na wapangaji ndani yake, tuseme hawalipi kodi au ndio katika kero za Muungano hizi? Kuna wakati mwl. wangu wa mathmatics alitaka makontena ya darajani yaondolewe yanachafua mandhari ya mji, haya..hiyo 'treni'????

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.