HARAKATI za hapa na pale katika mtaa wa Darajani zikizidi kila siku kwa huduma ya biashara katika mji huo wa Stone Town.
ASANTENI WANA RUANGWA -MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2,
2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya
kulitum...
1 hour ago
Hivi hili jumba refu kama treni hapa darajani mmiliki wake nani? linachafua mandhari yote ya mji! halifanyiwi ukarabati wala kupakwa rangi na lina maduka tele na wapangaji ndani yake, tuseme hawalipi kodi au ndio katika kero za Muungano hizi? Kuna wakati mwl. wangu wa mathmatics alitaka makontena ya darajani yaondolewe yanachafua mandhari ya mji, haya..hiyo 'treni'????
ReplyDelete