Habari za Punde

KIKUNDI CHA TAUSI CHAZINDULIWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizindua kikundi cha Taarab cha Wanawake,Tausi Taarab wanawake Zanzibar, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel mjini Zanzibar

Watoto waliozaliwa katika familia za wanamuziki wa Taarab, Neema Suri, (kulia) na Nabil Mohamed wakionesha vipaji vyao katika fani ya kupiga udi katika uzinduzi wa kikundi cha Wanawake cha Taarab, kiitwacho (Tausi Women Musical Club), uzinduzi wa kikundi hicho umefanywa na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel juzi


Wasanii wa kikundi cha (Tausi Women Musical Club) wakicharaza ala ya Muziki wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel
Wasanii wa kikundi cha (Tausi Women Musical Club) wakicharaza ala ya Muziki wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel
Kutoka kushoto Mama Mwanamwema Shein, Mama Asha Seif na Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi Mhe Abdullah Mwinyi .

Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa tamasha hilo.

Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

1 comment:

  1. Ama kweli 'hakuna awezae kuzuia mabadiliko'..Naona mitandio inazidi kupungua kwa mabinti wa kizenj?..duu..kazi kweli-kweli!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.