Habari za Punde

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI

Mwakilishi wa Mkwajuni Mbarouk Wadi Mtando, akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa nafasi za wanawake, Wanu Hafidh Amer nje ya ukumbi wa Baraza la wawakilishi huko chukwani Zanzibar
Wanafunzi kutoka katika Skuli mbalimbali wakisikiliza yaliyojiri katikaBaraza la wawakilishi linaloendelea kujadili na kupitisha miswada mbalimbali huko Chukwani nje ya mji wa Zanzibar

Mwakilishi wa Kitope Makame Mshimba Mbarouk akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Amani, Fatma Mbarouk Saidi nje ya ukumbi wa Baraza la wawakilishi huko Chukwani nje ya mji wa Zanzibar.

Picha zote na Yussuf Simai - Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.