Habari za Punde

WANAFUNZI WA KIDATU CHA NNE WAKIFANYA MTIHANI WA TAIFA.

 WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne wa Skuli ya Ben Bella wakiwa katika chumba cha mtihani wakifanya mtihani wa Taifa unaofanywa wanafunzi wote Tanzania, wakifanya mtihani wa Hesabu. 
MWALIM akisimamia chumba cha mtihani katika skuli ya BenBella. 
WANAFUNZI wa faradha wakifanya mtihani wao wa hesabati wakiwa katika kituo chao cha Skuli ya Ben bella. 
 WANAFUNZI wa kidatu cha Nne wa skuli ya Haeli wakiwa nje ya chumba cha mitihani baada ya kumaliza kufanya mtihani wa hesabu.  
 HIVI ndivyo ilivyo kuwa wanafunzi wa Haeli wakiwa katika chumba cha mtihani skulini hapo wakijumuika na Wanafunzi wezao wa Tanzania  
WATAHINIWA wa Skuli ya Kizimkazi Dimbani wakiwa katika chumba cha mtihani wakifanya mtihani.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.