Habari za Punde

DK SHEIN AKIWA ZIARANI RAS AL KHAIMAH

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia)akiwa na ujumbe wake wakifuatana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha dawa, Saeed A. Chattha,(wa tatu kushoto) walipotembelea sehemu mbali mbali za kiwanda hicho wakiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo Mjini Ras Al Khaimah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi katika kiwanda cha dawa, Saeed A. Chattha, Mjini Ras Al Khaimah akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia kwa kutumia kifaa maalum cha uchunguzi wa vijidudu mbali mbali katika chumba maalum chuo kikuu cha sayansi ya Afya Mjini Ras Al Khaimah, akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kulia)akiangalia dawa mbali mbali zinazotengenezwa katika kiwanda cha Gulf Phamaceutical Industrries,kilichopo mjini Ras Al Khaimah,pia kupata maelezo,(kulia) Mkurugenzi Biashara za Nje Soud Ali Neaimi,(kushoto) Mkurugenzi katika kiwanda cha dawa, Saeed A. Chattha, akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,mwenyeji wake Kiongozi wa Ras Al Khaimah,wakati alipowasili katika kasri ya kiongozi huyo Mjini Ras Al Kahimah jana akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano wa mashirikiano na kukuza maendeleo ya sekta mbali mbali za maendeleleo,kama Afya,Elimu,Biashara nyenginezo za maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kushoto)akiwa pamoja na Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,wakishuhudia utiaji saini makubaliano kuhusu ushirikiano wa kukuza sekta mbali mbali za maendeleo,ambapo kwa upande wa Zanzibar Waziri wa kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Mhe Haroun Ali Suleiman,na Sheikh Abdullah Bin Humaid Al Qasimi kwa upande wa Ras Al Khaimah,saini hizo zimetiwa katika ukumbi wa kasri ya Sheikh Soud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiangalia baadhi wa vitabu na Waziri Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,Mhe Haroun Ali Suleiman,(katikati) na Mshauri wa Rais Uhusiano wa Kimataifa na Uwekezaji Mhe Balozi Ramia,katika makataba chuoni hapo,wakiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo,Mjini Ras Al Khaimah akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya wafayabiashara na viwanda wa Ras Al Khaimah, Nasser Ahmad salmeen,baada ya mazungumzo na Uongozi wa jumuiya hiyo huko Mjini Ras Al Khaimah jana, Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo,(kushoto) Balozi Mohamed Hamza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akifuatana na Daktari Bingwa wa upasuaji Dr J.M.Gauer ,kutoka nchini Switzerland, katika hospitali ya Ras Al Khaimah, alipotembelea katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo,ikiwemo Afya ,Elimu,Biashara na Nyenginezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,( kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji katika Hospitali ya Ras Al Khaimah,Raza Siddiqui, wakati lipotembelea Hospitalini hapo na kuona harakati mbali mbali za huduma zinazotolewa kwa wananchi wa Mji wa Ras Al Khaimah,akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano katika sekta mbali mbali za kimaendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kulia)akitowa ushauri wake kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Ras Al Khaimah, Raza Saddiqui,(wapili Kushoto) akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na ushirikiano wa sekta mbali mbali za maendeleo, )kushoto)Ofisa Mkuu wa Fedha wa Hospitali ya Ras Al Khaimah,Gregory John Viyani, na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji wananchi,kiuchumi na Ushirika Mhe,Haroun Ali Suleiman.
Rais wa Zanmzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri wa Ras Al Khaimah,alipowasili katika kasri ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,akiwa katika ziara ya kukuza uhusianao na ushirikiano katika sekta mbali mbali za maendeleo,zikiwemo Elimu,Afya,Biashara na nyenginezo.
Rais wa Zanmzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri wa Ras Al Khaimah,alipowasili katika kasri ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi,akiwa katika ziara ya kukuza uhusianao na ushirikiano katika sekta mbali mbali za maendeleo,zikiwemo Elimu,Afya,Biashara na nyenginezo.


Picha na Ramadhan Othman,Ras Al Khaimah.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.