Habari za Punde

DK SHEIN ATEMBELEA JUMBA LA SANAA NA UCHORAJI SHARJAH

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake wakiongozana na Meneja Mkuu wa Ofisi ya kiongozi wa Sharjah,Dr.Sultan Mohammed Al Qasimi,Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi, (kulia kwa Rais), wakielekea katika jumba la sanaa na uchoraji katika Mji wa Sharjah

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake wakiongozana na Meneja Mkuu wa Ofisi ya kiongozi wa Sharjah,Dr.Sultan Mohammed Al Qasimi,Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,(wa pili kushoto) wakielekea katika jumba la sanaa na uchoraji katika Mji wa Sharjah .

Picha na Ramadhan Othman Sharjah

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.