Beki wa timu ya Polisi Mwinyi Ali, akiokowa mpira golini kwakena mshambuliaji wa timu ya Miembeni Abubakari Khamis, akiwania mpira.
Beki wa timu ya Miembeni Ali Issa, akiokowa moja ya shambulizi goli kwake katika mchezo wa ligi Kuu ya SeaGull, timu ya Miembeni imeshinda 1-0.
Beki wa timu ya Miembeni akiokoa moja ya mashambulizi golini kwake, katika mchezo wa ligi kuu ya SeaGull, mchezo ulikuwa umetawaliwa na madimbwi ya maji yaliotokana na mvua.
Golikipa wa timu ya Miembeni Sadk Salum, akiokowa moja ya hatari golini kwake, katika mchezo wa ligi kuu ya SeaGull, uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Miembeni imeshinda 1-0.
Mchezaji wa timu ya Polisi (kulia) na wa Miembeni, wakiwania mpira.
Mshambuliajhi wa timu ya Miembeni akimtoka beki wa timu ya Polisi katika mchezo wa ligi kuu ya SeaGull. Kocha wa timu ya Polisi akiwa na butwaa baada timu yake kulala kwa bao 1-0 dhidi ya timu ya Miembeni, katika mchezo wa ligi kuu ya SeaGull.
Wachezaji wa timu ya Polisi wakiangalia saa ya Muamuzi wa mchezo huo, na kudai muda bado haukumalizika na kudai bado dakika tanoza mchezo.timu ya Miembeni imeshinda 1-0.
Kocha wa timu ya Polisi na Wachezaji wake wakimlalamikia Mshika Kibendera, baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya SeaGull, ulliofanyika Uwanja wa Mao kwa kutowatendea haki wakati wa mchezo wao na Miembeni.
No comments:
Post a Comment