Beki wa timu ya Chuoni akimzuwia mshambuliaji wa timu ya Chuoni, asipite bora upite mpira lakini wewe hupiti ndivyo inavyoonekana akisema beki huyo.
Mchezaji wa Timu ya Chuoni Issa Saleh, akimpita mchezaji wa timu ya Kikwajuni katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar, timu ysa Kikwajuni imeshinda 1-0.
Mshambuliaji wa timu ya Kikwajuni Bakari Thani, akimpita mchezaji wa timu ya Chuoni, katika mchezo wa ligi kuu.
Beki wa Timu ya Kikwajuni Abdalla Said, akimpita mchezaji wa timu ya Chuoni, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa Mao timu ya Kikwajuni imeshinda 1-0.
Mchezaji wa timu ya Chuoni Mohammed Kombo, akiwapita mabeki wa timu ya Kikwajuni, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar, timu ya Kikwajuni imeshinda 1-0.
Beki wa Timu ya Chuoni Harith Haji, akiokoa mpira mbele ya mshambuliaji watimu ya Kikwajuni Ramadhani Hussein.timu ya kikwajuni imeshinda kwa bao 1-0.
Beki wa timu ya Kikwajuni Bakari Thani, (kulia)na mshambuliaji wa timu ya Chuoni Mohammed Kombo, wakiwania mpira.
Mshambuliaji wa Timu ya Chuoni Mohammed Kombo, akimpita beki wa Timu ya Kikwajuni Abdalla Said, katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar iliofanyika Uwanja wa Mao timu ya Kikwajuni imeshinda 1-0.

No comments:
Post a Comment