Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, wakiwa katika mazoezi, katika Uwanja wa kijiji cha Al Maad Olimpiki Centre, Misri, ambako timu hiyo imeweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Chalenji, Wanaoonekana mbele, kutoka kushoto ni Abdulhalim Humud, Suleiman Kassim na Khamis Mcha 'Viali'. ( Picha kwa Hisani ya ZFA).
BALOZI CHANA AWAVISHA VYEO MANAIBU KAMISHNA WAWILI NA KUSHUHUDIA UVISHWAJI
VYEO WA MAKAMISHNA WASAIDIZI WAANDAMIZI WATANO WA NCAA.
-
Kassim Nyaki, NCAA Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewavisha cheo
manaibu kamishna wawili na kushuhudia uvishwaji vye...
2 hours ago
hawa ni Timu ya vijana au wakubwa maana naona hawana miili ya kiutu uzima kama wachezaji wa zamani kina koresheni,Inosent haule,shaban mussa, na wengineo. inaonekana lishe hakuna kweli tutasonga mbele??
ReplyDelete