Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, wakiwa katika mazoezi, katika Uwanja wa kijiji cha Al Maad Olimpiki Centre, Misri, ambako timu hiyo imeweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Chalenji, Wanaoonekana mbele, kutoka kushoto ni Abdulhalim Humud, Suleiman Kassim na Khamis Mcha 'Viali'. ( Picha kwa Hisani ya ZFA).
MHE. MCHENGERWA AWAOMBA WANARUFIJI WOTE DUNIANI KUJA KUMPOKEA RAIS SAMIA.
-
Na Yohana Kidaga- Muhoro, Rufiji
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa
Wanarufiji na Wandengereko wote duniani kufik...
3 hours ago
hawa ni Timu ya vijana au wakubwa maana naona hawana miili ya kiutu uzima kama wachezaji wa zamani kina koresheni,Inosent haule,shaban mussa, na wengineo. inaonekana lishe hakuna kweli tutasonga mbele??
ReplyDelete