Habari za Punde

DK BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA 17 WA MABADILIKO YA TABIANCHI DURBAN - AFRIKA YA KUSINI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye mkutano wa majadiliano wa Viongozi wakuu wa Nchi wanachama 194 wa Itifaki wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi, juu ya kupunguza uzalishaji wa gesijoto Duniani kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 17 wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi Duniani uliofanyika jana Desemba 6, mjini Daban. Picha na Amour Nassor-OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.