Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwasilisha hotuba yake kwa waandishi wa habari wa vyombo mbali kutoka Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi wa Idara ya habari maelezo Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mbali waliopata fursa ya kuuliza katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya habari maelezo Zanzibar. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mheshimiwa Abdulla Mwinyi
Mwandishi wa habari Kulthum Ali kutoka TBC Taifa akipata nafasi ya kwanza kumuuliza Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar
Mwanahabari wa Channel 10 Munir Zakaria pia alipata fursa ya kumuuliza Makamu wa kwanza wa Rais
Mwandishi wa Gazeti la Zanzibar Leo Mwantanga Ame nae alipata fursa ya kuuliza
No comments:
Post a Comment