Habari za Punde

MSHAURI WA MRADI WA MAZINGIRA KWA NCHI TANO ZA VISIWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR.

 
Mshauri wa mambo ya mazingira Shafick Osman, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar kuhusu mradi wa mazingira utakaoshirikisha nchi tano za Visiwa, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni jana.kulia Dk.Abuod Suleiman Jumbe.

MTAALAMU wa mambo ya Mazingira Zanzibar Hamza Rijali, akifafanua kuhusu Mradi wa Mazingira ulioelezewa na Mshauri wa mambo ya Mazingira Shafick Osman, kwa waandishi wa habari.
 Waandishi wa habari wakisikiliza wa mambo ya mazingira, Shafick Osman, akitowa maelezo ya Mradi huo ambao utazinufaisha Nchi Tano za Visiwa ikiwemo Zanzibar, 
Mwandishi wa ITV na Redio One Farouk Karim akichangia kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.