Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
huyu mapara huyu sijui vipi wewe muandishi wa habari lakini huna ushirikiano na wenzako unaficha picha zako ili iweje wewe mwenyewe una copy picha kibao kwenye blog za watu acha uchoyo wa habari huo sisi sote ni wapiganaji kuficha habari haitokusaidia kitu kaka
Kaka mimi nikupongeze kwa picha safi na kutosha. Nasikitika tuu kwa nyingi hazina maelezo kama vile; Kocha wa azam akiongea na waandishi wa habari au kocha wa simba akimkimbaia faruk karim zidani 'zizzou' hata hivo asante!!
wewe mapara unaubinafisi wewe ingelikuwa mtu mzuri usingezifunga picha zako wacha uchoyo wa habari huo wewe ukizifunga unapata kitu gani cha maana acha ushamba huo kijana nakushitaki google
Kama mtu anashida nazo hizo picha. Just tumia print screen na uzipast katika paint. Halafu cut unachokitaka, na past tena kwenye paint, crop and save as. Kama zina copyright shauri yako mie simo.
Tuzo : NCAA Yajivunia Tuzo ya Kimataifa
-
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw.
Abdul-Razaq Badru kupitia mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika jijini
Ar...
mapara mbona umezifunga picha tunataka kukopi na sisi usifanye hivyo sheria ya google hairuhusu hivyo unavyofanya
ReplyDeletehatuwezi kudownload picha.acheni ubanizi wa ajabu.
ReplyDeletehuyu mapara huyu sijui vipi wewe muandishi wa habari lakini huna ushirikiano na wenzako unaficha picha zako ili iweje wewe mwenyewe una copy picha kibao kwenye blog za watu acha uchoyo wa habari huo sisi sote ni wapiganaji kuficha habari haitokusaidia kitu kaka
ReplyDeleteKaka mimi nikupongeze kwa picha safi na kutosha.
ReplyDeleteNasikitika tuu kwa nyingi hazina maelezo kama vile; Kocha wa azam akiongea na waandishi wa habari au kocha wa simba akimkimbaia faruk karim zidani 'zizzou' hata hivo asante!!
wewe mapara unaubinafisi wewe ingelikuwa mtu mzuri usingezifunga picha zako wacha uchoyo wa habari huo wewe ukizifunga unapata kitu gani cha maana acha ushamba huo kijana nakushitaki google
ReplyDeleteKama mtu anashida nazo hizo picha. Just tumia print screen na uzipast katika paint. Halafu cut unachokitaka, na past tena kwenye paint, crop and save as. Kama zina copyright shauri yako mie simo.
ReplyDelete