Habari za Punde

Azam Yairambisha Icecream Simba Kombe la Mapinduzi Yaifunga 2-0

Vikosi vya timu ya Azam na Simba vikiingia uwanja kuoneshana kazi katika Kombe la Mapinduzi  uwanja wa Amani Usiku huu.
Kikosi cha Simba kikisubiri kukaguliwa na Mgeni wa Heshima Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. 




















6 comments:

  1. mapara mbona umezifunga picha tunataka kukopi na sisi usifanye hivyo sheria ya google hairuhusu hivyo unavyofanya

    ReplyDelete
  2. hatuwezi kudownload picha.acheni ubanizi wa ajabu.

    ReplyDelete
  3. huyu mapara huyu sijui vipi wewe muandishi wa habari lakini huna ushirikiano na wenzako unaficha picha zako ili iweje wewe mwenyewe una copy picha kibao kwenye blog za watu acha uchoyo wa habari huo sisi sote ni wapiganaji kuficha habari haitokusaidia kitu kaka

    ReplyDelete
  4. Kaka mimi nikupongeze kwa picha safi na kutosha.
    Nasikitika tuu kwa nyingi hazina maelezo kama vile; Kocha wa azam akiongea na waandishi wa habari au kocha wa simba akimkimbaia faruk karim zidani 'zizzou' hata hivo asante!!

    ReplyDelete
  5. wewe mapara unaubinafisi wewe ingelikuwa mtu mzuri usingezifunga picha zako wacha uchoyo wa habari huo wewe ukizifunga unapata kitu gani cha maana acha ushamba huo kijana nakushitaki google

    ReplyDelete
  6. Kama mtu anashida nazo hizo picha. Just tumia print screen na uzipast katika paint. Halafu cut unachokitaka, na past tena kwenye paint, crop and save as. Kama zina copyright shauri yako mie simo.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.