Habari za Punde

Dk Shein Azindua Jumuiya ya Kuzuia, Kukinga na Kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM)

Baadhi ya wadau mbali mbali na wanajumuiya,pamoja na wananchi walioalikwa katika uzinduzi wa
uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza baada ya kuizindua jumuiya hiyo,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akibonyeza Kompyuta kuashiria uzinduzi wa Jumuiya yakuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana,(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya hiyo Najima Murtadha Jiga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanajumuiya na wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia, kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipeana Mkono wa Shukurani na Mjumbe wa Bodi ya Jumuiya ya (DCPM) Hassan Hafidh baada ya uzinduzi wa Jumuiya ya
kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar kwa njia ya Mtandao, katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akionesha vitabu baada ya kuvizindua wakati wa uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jumuiya hiyo Najima Murtadha Jiga,na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.

Baadhi ya wadau mbali mbali na wanajumuiya,pamoja na wananchi walioalikwa katika uzinduzi wa
uzinduzi wa Jumuiya ya kuzuia,kukinga na kuondosha Maafa na Majanga Zanzibar (DCPM) kwa njia ya Mtandao,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza baada ya kuizindua jumuiya hiyo,katika ukumbi wa Zanzibar Grand Palace Hotel,Malindi Mjini Unguja jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

2 comments:

  1. Hassan Hafidh ( Hassan Dorak )rudi UK uje ulee wato wako hivyo vyeo vya kidunia havitokusaidia siku ya siku kwani mimi na wewe tutaulizwa jinsi tulivyochunga,tujitayarishe kwa majibu yasio kuwa na ubabaishashi kwani kutakuwa hakuna ubabaishaji.

    ReplyDelete
  2. Rekibisho wato = watoto

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.