Habari za Punde

Jamhuri Yaingia Fainali Yaifunga Mafunzo 2-1 Mapinduzi Cup


 Wachezaji wa timu ya Mafunzo na Jamuhuri wakiingia Uwanja tayari klwa mchezo wa nusu fainali ya Mapinduzi Cup.
 Mgeni wa Heshima wa mchezo wa nusu Fainali Mafunzo na Jamuhuri Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, akikaguiwa timu ya Jamuhuri, kushoto Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mapinduzi Cup Shery Khamis.  
Kikosi cha timu ya Jamuhuri wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo.  
 Kikosi cha timu ya Mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo.

Mshambuliaji wa timu ya Jamuhuri Ali Othman, akipiga krosi golini mwa timu ya Mafunzo, timu ya Jamuhuri imeshinda 2-1    
Mshambuliaji wa timu ya Jamuhuri Ali Othman, akimpiga chenga beki wa timu ya Mafunzo Haji Ramadhani katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi ulifanika uwanja wa Amani   
 Galikipa wa timu ya Mafunzo Suleiman Jawabu, akidaka mpira.
 Wachezaji wa timu ya Mafunzo wakimzonga Mshika kibendera wakimlalamikia baada ya kukataa goli lao.
Mshambuliaji wa timu ya Mafunmzi Sadik Habibu, akiwapita mabeki wa timu ya Jamuhuri, katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi, timu ya Jamuhuri imeshinda 2-1.   
 Hekaheka golini kwa timu ya Jamuhuri, katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amani.
 Mchezaji wa timu ya Mafunzo na Jamuhuri wakigombe mpira





 Kocha wa timu ya Mafunzo Omar Kingan ameshindwa kukaa katika benchi.
 Wachezaji wa timu ya Jamuhuri wakishangilia ushindi wao dhidi ya timu ya Mafunzo nsa kufanikiwa kuingia Fainali na timu ya Azam. 

1 comment:

  1. HONGERA JAMHURI KWA KAZI NZURI,NJAA NA SIASA CHAFU TU ZILIKUA ZINATUSUMBUA SASA KAZI IMEANZA,KARAFUU BEI JUU NA SOKA LIMERUDI KAMA KAWAIDA.HONGERA VIJANA WA KAZI..MDAU LONDON

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.