Habari za Punde

Maalim Seif Anguruma Dar, Atetea Uamuzi wa CUF


Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese Argentina, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, pamoja mambo mengine, Hamad ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alitetea uamuzi wa chama chake kuwatimua wanachama wake wanne, akiwamo Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid Mohammed. (Picha na Mohammed Mambo)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.