WATUMISHI REA WAPONGEZWA
-
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamepongezwa kwa kujituma na
kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo
ikiwa...
1 hour ago

Hawa wasyria nao wametuletea balaa tu..hapa!
ReplyDeleteSasa hivi majumbani hatuna raha,..imekua "utatupeleka lini wee.. na sisi tukaone" bidhaa zenyewe nyingi ni za mapambo na bei hazigusiki..sasa imekua 'kifo cha pesa' watu wanasahau mambo ya msingi kwa kununua mapambo kutokana na shinikizo la wake zao..kazi kweli.. kweli!