Habari za Punde

Raza Arejesha Fomu yake ya Kugombea Uwakilishi Uzini

MGOMBEA Uwakilishi katika uchaguzi mdogo jimbo la Uzini kwa Tiketi ya  Chama Cha Mapinduzi,Muhamed Raza,akirejesha fomu ya kugombea uwakilishi katika jimbo hilo kwa msimamizi wa Uchaguzi  wa Wilaya ya Kati Mussa Ali Juma, baada ya kukamilisha taratibu za kuijaza fomu hiyo,hafla hiyo ilifanyika ofisi za Tume ya Uchaguzi Koani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.