Habari za Punde

Mafunzo yalala 2-0 dhidi ya Maculmana ya Msumbiji


Mgeni rasmi katika pambano hili Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Idd akikagua timu ya Mafunzo kabla ya kuanza pambano lake dhidi ya Maculmana
Mgeni rasmi katika pambano hili Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Idd akikagua timu ya Maculmana kabla ya kuanza pambano lake dhidi ya Mafunzo
Viongozi wakisimama wakati wa wimbo za Taifa za Zanzibar na Msumbiji 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.