Habari za Punde

Wananchi wa Kijiji cha Mchekeni Kiwengwa Walivyoathirika na Moto

 Mabaki ya Viwanja vya Nyumba Nane zilizoteketea kwa Moto katika maeneo ya Kiwengwa Mchekeni juzi, na kusababisha Familia za nyumba hizi kukosa pa kukaa kutokana na janga hilo la moto ulioazia katika moja ya nyumba hizo.
 Wasamaria wema wakitowa msada wa kuokoa mali za Wananchi waliounguliwa na Nyumba zao.
 Wanafamilia wakiwa wameduwaa baada ya kupata baadhi ya mali zao na nyengine kuteketea kwa moto.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.