Habari za Punde

Matuta Yazitupa Magic, Good Time

Na Mbarouk Abdulla, MCC

KATIKA mfululizo wa michuano ya kuwania kombe la ‘Maulid Hamad’ iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar (TASWA-ZANZIBAR), timu ya Marijuana iliishinda Good Time kwa mikwaju ya penelti 4-3.

Aidha hali kama hiyo ilijiri juzi, ambapo Mpendae ililazimika kushinda dhidi ya Magic kwa mikwaju ya penelti 4-3.
Ilibidi wanaume hao kuhukumiana kwa penelti baada ya kuzitafuna dakika 90 za mchezo bila kufungana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.