Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho, akihutubia katika uzinduzi wa mradi wa kujengea uwezo vyombo vya kutunga sheria huko katika ukumbi wa hoteli ya Maruhubi Beach Villa, uliofadhiliwa na UNDP.
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataita (UNDP) Philippe Poinsot, akitowa hutuba katika uzinduzi wa Mradi wa Kuviwezesha vyombo vya kutunga sheria uliozinduliwa katika ukumbi wa hoteli ya Maruhubi Beach Villa.
Mabalozi Wadogo wanaoziwakilisha Nchi zao Zanzibar wakiwa katika uzinduzi huo wakimsikiliza mgeni rasmin Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akizinduwa mradi huo.
Waheshimiwa Wawakilishi wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa vyombo vya kutunga sheria uliofadhiliwa na UNDP.
No comments:
Post a Comment