Mhe Ismail Jussa jimbo la Mjimkongwe (CUF) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Rahaleo Mhe Nassor Salim Jazira,(ccm) wakiwa katika viwanja vya baraza la Wawakilishi Chukwani.
Mwakilishi wa jimbo la Mkwajuni (CCM) Mhe.Mbarouk Wadi Mussa, akipitia moja ya mswaada uliowasilishwa katika Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuchangiwa na Wajumbe ili kuupitisha kuwa sheria.
Mhe Mahmoud Mohammed (Kikwajuni)akisisitiza kitu wakati akibadilioshana mawazo na Mhe Ali Juma Shamuhuna, wakiwa ndani ya Ukumbi wa Baraza wakati kikao kikiendelea na michango ya Wajumbe.
Mhe Nassor Mazrui , akibadilishana mawazo na Mhe Juma Duni wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa baraza. Mhe Ramadhani Abdalla Shabani, akifuatilia vifungu Mswada unaochanmgiwa na wajumbe wa Baraza wakati wa kikao cha asubuhi kikiendelea.
No comments:
Post a Comment