Habari za Punde

Mchezo wa ligi kuu Zimamoto na Super Falcon.

 Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar ukiwa  hivi wakati ligi hiyo ikienda ukiongoni
 Mchezaji wa timu ya Super Falcon Khatib Ayoub, akimpita mchezaji wa timu ya Zimamoto Hakim Khamis, (kushoto)katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Zimamoto imeshinda 2--1
 Beki wa timu ya Super Falcon (kulia) Faki Hamad, na mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Hamad Mgeni, wakipimana nguvu  kuwania mpira katika mchzo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa mao, timu ya Zimamoto imeshinda 2--1   
 Beki wa timu ya Zimamoto (kushoto)Makam Hamad, akimpita mchezaji wa timu ya Super Falcon Hemed Suleiman.
 Mchezaji wa timu ya Zimamoto Mohammed Suleiman, akijiandaa kjuzuia mpir huku beki wa timu ya Super Falcon Faki Hamad akiwa katika harakati za kuzuiya shambulio hilo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.