Habari za Punde

Rais Kikwete Ahitimisha Ziara ya Kikazi Brazil

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, katika siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Brazil April 19, 2012. Wa pili kulia ni Makamu wa Rais wa chama hicho Bw Joao Guilherme Sabino Ometto na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na kulia ni Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo April 19, 2012.

Picha na Ikulu

1 comment:

  1. kwa habari nilizo zipata kuwa huyu jama anaye jiita JK ,lengo na mazumuni hasa ya kwenda huko ni kutafuta mikopo ya bei rahisi kwa ajili ya kuchimba mafuta yetu ZNZ,

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.