Mdau wa Makamu wa Pili wa Rais Kaka Hassan Issa, Mdau Amour Nassor wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Mdau wa Blog hii Othman Maulid, Mdau Ramadhan Othman wa Rais wa Zanzibar na Mdau Sufiani Mafoto wa Makamu wa Rais wa Tanzania, wakiwa katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisuwandui wakisubiri kupiga kazi ili kuwewezesha wadau wa habari kupata vitu vya uhakikika katika hafla hiyo ya kisomo cha Khitma.
KIBAHA FDC YAFANYA MAHAFALI YA 53, YAIBUKA KINARA WA MAFUNZO YA UJUZI
-
Na Mwandishi Wetu,Kibaha
CHUO cha Maendeleo ya Wananchi Kibaha (FDC Kibaha) kimesema kinajvunia
kuendelea kukuza ujuzi wa kazi kwa vijana pamoja na kubor...
2 hours ago

Kaka Mapara, sikuweza kukutambua mara moja kutokana na 'kiuwa'..mambo ya Zenj hayo!
ReplyDeleteHongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya!