Habari za Punde

Salamu za Rambirambi Kutoka Belgium

Tunatoa salamu za rambirambi kutokana na kifo cha msanii wetu maarufu steven kanumba kilichotokea usiku wa kuamkia leo tunaungana na watanzania wenzetu na familia yake kwa ujumla kuomboleza msiba huu mkubwa ambao umeshitua dunia.

mungu atupe subira kwa sote katika kipindi hiki kigumu

kutoka kwa wadau Oostende na Leuven

Belgium

1 comment:

  1. AMEEN KANUMBA NI KIPAJI AMBACHO NI VIGUMU KUKIPATA ILA MWENYEZI MUNGU KATUPA NA KAKISHUKUWA

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.