Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza katika mahafali ya tatu ya kidatu cha sita na michepuo katika skuli ya Mwanakwerekwe “C”
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Ali Juma Shamhuna akitoa nasaha fupi katika mahafali ya tatu ya kidato cha sita na michepuo katika skuli ya Mwanakwerekwe ‘C’. Mgeni Rasmi katika mahafali hayo alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Mhe. Ramadhan Abdallah Shaaban akitoa nasaha fupi katika mahafali ya tatu ya kidato cha sita na michepuo katika skuli ya Mwanakwerekwe ‘C’. Mgeni Rasmi katika mahafali hayo alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi zawadi kwa Mwalimu Mkuu mstaafu wa skuli ya Mwanakwerekwe C Abdallah Mohd Hilal katika mahafali ya tatu ya kidatu cha sita na michepuo ya skuli hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi cheti kwa muhitimu wa kidato cha sita Lulua Saleh katika mahafali ya tatu ya kidatu cha sita na michepuo katika skuli ya Mwanakwerekwe “C”(Picha, Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment