Baadhi ya Wanaharakati waliokuwepo kwenye viwanja vya baraza la wawakilishi wakisubiri hatima yao ya kutaka kuonana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho.
Jeshi la Polisi likitoa tahadhari kwa wananchi waliofika katika viwanja vya baraza la wawakilishi wakidai kuwepo kwa kura ya maoni juu ya Muungano
Kikosi maalum cha Polisi cha kuzuia fujo kikijipanga kukabiliana na wanaharakati waliofika baraza la Wawakilishi leo
No comments:
Post a Comment