Habari za Punde

Ziara ya Bodi ya Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC,

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Mhe.Tatu Ali,mwenye mtandio mweupe akimshikiliza Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Hassan Mitawi akitowa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Mnara katika eneo la Bungu, wakati wa ziara ya Bodi hiyo uliofanya katika vituo vya Shirika hilo la Utangazaji Zanzibar.
 Fundi Mkuu wa ZBC Redio Ali Aboud, akitowa maelezo ya ufungaji wa mnara huo katika kituo hicho kilioko Bungi jinsi unavyoendelea, wakati wa ziara ya bodi hiyo ilipotembelea huko Bungi kuona maendeleo ya kazi za ujenzi wa nyumba za wafanyakazi na ufungaji wamnara. 
Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Hassan Mitawi akimuonesha Mwenyekiti wa Bodi ya ZBC Mhe.Tatu Ali, alipofika katika kituo cha TV Mnazimmoja kuangalia shughuli za kituo hicho kinavyotowa huduma kwa wananchi katika kurusha vipi vyake.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.