Habari za Punde

Mgahawa Uliojengwa katika Ufukwe wa Hoteli ya Ocean View Kilimani Wabomolewa.

 Wafanyakazi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani wakibomowa  jengo la mgahawa huo uliojengwa katika ufukwe wa pawani ya hiyo baada, kama inavyooneka mafundi wakiwa katika harakati za uvunjaji huo uliofanyika hivi karibuni katika eneo hilo.
Jengo la Mgahawahuo likionekana mandhari yake katika ufukwe wa pawani  hiyo ya Kilimani kuelekea ngazi mia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.