Habari za Punde

Patashika ya Madereva wanapopata ajali barabarani.

Wananchi wakiangalia ugovi uliosabaishwa na madereva hawa kusababisha ajali iliozikutanisha gari mbili ya Daladala aina Haice na Toyota, iliotokea katika barabara ya Mwanakwerekwe. Na kusababisha ugovi huu kila mmoja akidai mwezake ni mkosa na kusababisha ajali hii, 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.