Habari za Punde

Mradi wa Mkonge wa Waya wa Mawasiliano Zanzibar


Wakandarasi wa utandazaji wa Waya wa Mkonge wa Mawasiliano wa Taifa Lix
Mradi wa uwekaji wa Waya wa Mkonge wa Taifa wa Mawasiliano Zanzibar ukiwa katika hatua za kufikia ukingoni kwa  uwekaji wake katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar, kama inavyoonekana ukiwa katika maeneo ya Mwanakwerekwe ukitokea Mkoa wa Kusini Unguja. ukielekea mitaa ya mjini kuendelea na uwekaji wake ardhini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.