Meneja wa Kampuni ya kutembeza Watalii Zanzibar Sabry Juma, akitowa maelezo Watalii waliofika Zanzibar kutembelea sehemu za Historia katika Mji Mkongwe kuone sehemu za historia ya Zanzibar, akiwa katika mtaa wa Shangani. Watalii wengi wanaendelea na safari zao katika mji wa Zanzibar baada ya kumalizika kwa Vurugu zilizotokea wiki iliopita, hali ya Mji Mkongwe ni shuwari na Wageni waliofika Zanzibar wanaendelea na kutembelea sehemu za Kitalii katika maeneo ya Mji Mkongwe.
Kampuni ya kukodisha magari,kusafirisha watalii na kuwatembeza katika
vivutio mbali mbali Zanzibar.
Ahsante
Sabry Juma
Zanzibar Car Hire Ltd
P.o.Box 3552
Shangani,Kenyatta Road,Stone Town
Zanzibar Tanzania East Africa
Skype:zanzibarcarhire
Hotline:+255777414044 Tel/Fax +255242235485
Mobile:+255713 414044 or +255786 414044
Web:www.zanzibarcarhire.com
Email:zspice2002@hotmail.com
Kaka Sabry!..najua ulimpoteza shemegi yetu katika mkasa wa SPICE ISLANDER na M/Mungu amlaze mahala pema peponi..Amin,
ReplyDeleteLakini vipi, umekiona hicho kitu kilichochoza hapo;..shingo upaga, wonderful figure, ..mwa..mwa!!..think about it!
Oh.la.la! Je viendrai a Zanzibar pour vacance si illy a les belle filles comme ca!
ReplyDeletemambo yapo huwa yanafichwa tu na mabaibui, ona nyonga ile kudadakek.
ReplyDeleteFahari kwa Zanzibar we proud for best services around stone town,rent suzuki 4x4,motorbikes hire,minivan hire,excursions and hotels booking.
ReplyDelete