Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. akiwahutubia Viongozi wa Dini mbalimbali katika semina ya Viongozi wa Dini katika Kuendeleza Dhana ya Utalii kwa Wote, katika ukumbi wa salama hoteli ya bwawani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. akiwahutubia Viongozi wa Dini mbalimbali katika semina ya Viongozi wa Dini katika Kuendeleza Dhana ya Utalii kwa Wote, katika ukumbi wa salama hoteli ya bwawani.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, akitowa maelezo ya madhumuni ya Semina hiyo wakati wa ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar, ukumbi wa salama bwawani.
Viongozi wa Jumuiya ya Mabohora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar akifunguwa semina hiyo, katika ukumbi w salama.
Viongozi wa Madhehebu wa dini ya Kikristo Zanzibar wakifuatilia mada zanazowasilishwa na watowa mada.
Viongozi wa dini na Wamiliki wa mahoteli ya Kitalii wakiwa katika Ukumbi wa mkutano.
Wadau wa Sekta ya Utalii ya Zanzibar wakifuatilia mada katika semina hiyo kwa makini.
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ali Halil Mirza, akiwasilisha Mada ya Utalii kwa Wote, katika semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa salama bwawani.
Dk. Amina, akitowa mada ya Utalii kwa Wote katika semina hiyo.
Dk. Issa Haji Ziddy, akitowa Mada kuhusu Uislam na Utalii, katika semina ya Viongozi wa Dini Zanzibar ilioandaliwa na Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo, katika ukumbi wa Salama Bwawani.
Shekh. Ali Yani akifuatilia mada inayowasilishwa na Dk. Ziddy.
Viongozi wa Dini wakifuatilia Mada katika semina hiyo wakiwa na karatasi za Mada hiyo inayowasilishwa kwa Viongozi wa Dini Zanzibar,
Shekh. Khamis Abdulhamid akichangia mada ya Dk. Ziddy
Mchungaji wa Kanisa la KKKT, akichangia katika semina hiyo.
Shekh. Said Gwiji anae akichangia kuhusu mada ya Uislamu na Utalii katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment