Habari za Punde

Mhe Spika Amuapisha Mwakilishi wa Kuteuliwa Marina Joel Thomas leo.

 Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais wa Zanzibar Marina Joel Thomas, akilila Kiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe Pandu Ameir Kificho, na Katibu wa Baraza  
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho, akimkabidhi makabrasha Mwakilishi mpya wa Kuteuliwa Marina Joel Thomas, baada ya kulia kiapo cha Kulitumikia Baraza la Wawakilishi.

Mhe. Marina akiwa katika picha ya pamoja na Familia yake baada ya kumaliza kula kiapo, akiwa nje ya jengo la Baraza Chukwani.  

3 comments:

  1. Kila la kheri Mh Marina katika utetezi wa nchi yetu.

    ReplyDelete
  2. Allah.. bwana!
    Ndio mana tukaambiwa kama sisi wenyewe tutaongoka, na tukafanya dini ..hakki ya kufanya dini, basi hata wale wasiokua ktk sisi watafata mila zetu!

    Kutokana na uongofu wa mtume(saw) yeye hakua na kazi kubwa ya kulingania Makaffir, ilikua rahisi kuwaabia tu " kuweni kama mimi"

    Haya angalieni picha ya familia hiyo,......

    ReplyDelete
  3. MWENYEZI MUNGU akubariki na akupe nguvu ya kuweza kufanya kazi .

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.