Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi leo

Waheshimiwa wakiwa nje ya Ukumbi  mkutano wakibadilishana mawazo kulia Mwakilishi wa Rahaleo Nassor Salam na Mohammed Raza (Uzini)
Mwakilishi wa Kuteuliwa Marina Joel Thomas(kushoto) akiwa na Wawakilishi wezake akibadilishana nao mawazo na kukaribishwa katika baraza baada ya kuapishwa leo.l
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi  wkibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa kikao cha kujadili bajeti ya Serekali asubuhi leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.