Habari za Punde

Waliokuwa Wabunge EAC walipokutana na Waziri Dk Mwinyihaji Makame

 Waziri wa nchi Afisi ya Rais Mhe Dk Mwinyihaji Makame akiwa katika mazungumzo na waliokuwa watendaji wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki walipokea wakitoa taarifa mbambali za Jumuiya hiyo
 Waliokuwa Wabunge la Afrika Mashariki wakimsikiliza Dk Mwinyihaji kwa makini ( hayupo pichani) walipokutana naye hivi karibuni katika warsha iliyoandaliwa na kitengo cha Diaspora
 Baadhi ya watendaji wa desk la Diaspora na mahusiano ya kimataifa pia walishiriki katika kikao hicho
Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika warsha iliyofanyika mwaka jana

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.