Habari za Punde

ZanCana Wafanya Uchaguzi wa Viongozi


Viongozi wa jumuiya ya Wazanzibari wanaoishi canada (ZANCANA) wakiwa katika picha ya pamoja  baada ya mkutano wa chama wa kuwachagua viongozi wake uliofanyika karibuni.

Picha kwa hisani ya Diaspora Desk 

1 comment:

  1. Duh,
    Naona wote wamevaa majaket mazito. Ina maana huko Canada bado kuna baridi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.