Habari za Punde

Dk Shein Awasili Pemba


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali,wa Chama na Serikali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na Kaskazini.[Picha na Ramadhan Othman,ORZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana na Viongozi mbali mbali,wa Chama na Serikali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na Kaskazini.[Picha na Ramadhan Othman,ORZ.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Pemba, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akiwa katika ziara maalum ya mikoa ya Kusini na Kaskazini.[Picha na Ramadhan Othman,ORZ.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.