Habari za Punde

Harakati za Ramadhaan na maandalizi ya sikukuu Chakechake Pemba


MFANYABIASHARA katika Mtaa wa Misufini Chakechake Pemba akiwa katika harakati za kufanya biashara kwa wateja wake akimgeshesha nguo mtoto aliefika katika duka lake kujipatia nguo kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu ya Eid-Fitry, inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa mfungo wa Ramadhani.


HARAKATI za kujipatia mahitaji ya bidhaa mbalimbali kwa mahitaji ya Ramadhani na Sikuu zikiendelea katika maeneo ya Misufini kisiwani Pemba kama inavyoonekana pichani (Picha na Othman Maulid)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.