Msanii Synerg akitowa burudani kwa Wapenzi wake na wageni waliofika katika Tamasha la ZIFF Ngome Kongwe.
Wananchi wakiduwa na Vitu vya Msanii Synerg, alipokuwa akilishambulia jukwaa la ZIFF.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Synerg, akitowa burudani katika Onesho la Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar katika Viwanja vya Mambo Club Ngomekongwe.akiwa na kundoi lake likitowa burudani.
Wasanii kutoka Comoro wakitowa burudani ya ngoma za asili ya Comoro katika Onesho lao katika Jukwaa la ZIFF, wakati wakitowa burudani kwa Wananchi waliohudhuria Tamasha hilo.
Wasanii kutoka Visiwa vya Comoro wakionesha umahiri wao katika Tamasha hilo la ZIFF katika viwanja vya Ngome Kongwe Forodhani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment