Habari za Punde

Semina ya Mafunzo Kwa Wafanyakzi wa Vituo vya Afya kuhusu unyanyapaa kwa Watu Wanaoishi na Maambukizo ya Ukimwi.


 Katibu wa Jumuiya ya ZAYEDESA. Bi. Lucy Majaliwa  akifunguwa semina hiyo katika Ukumbi wa Ecrotanali.
 Muwezeshaji wa Jumuiya ya ZAYEDESA Aisha Ali Karume, akitowa mada ya hiyo kwea washiriki wa Semina hiyo ilioandaliwa na Junuiya ya ZAYEDESA katika ukumbi wa Ecrotanali.


 Mratibu Miradi ya HIV wa Jumuiya ya  ZAYEDESA Mgoli  Lucian, akitowa moja ya mada kuhusu Unyanyapaa kwa Watu wanaoishi na Maambukizo ya Ukimwi, jinsi wanavyotengwa na baadhi ya jamii katika maeneo yao. semina hiyo imewashirikisha Wafanyakazi wa Vituo vya Afya na Viongozi wa Sobar House.   
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Mafunzo ya  Ushauri nasaha  kuhusu Wananchi wanaowanyanyapaa Wananchi  wanaoishi na Maambukizo ya Ukimwi kupiga vita vitendo hivyo vya Unyanyapaa ilioandaliwa na Jumuiya isiyo ya Kiserekali ya ZAYEDESA, iliofanyika katika ukumbi wa Ecrotanali.

1 comment:

  1. Namuona yule kijana pale akiishi kikwajuni nadhani amefanikiwa kuucha Kutumia unga. Mungu amuweke. Ni uzuri anatumia muda wake kuwapa elimu wengine juu ya madhara ya Kutumia unga. Kama nakumbuka uzuri akiitwa Mani. Kuelimishana kwa njia mbali mbali ni Uzuei pongezi kwa wote.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.