Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana
na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akisalimiana
na Wazee wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
Leo,akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na
Watoto wa kijiji cha Chokocho Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
Leo,akiwa katika ziara maalum Kisiwani humo. [Picha na Othman Maulid.]
No comments:
Post a Comment